Social Icons

Pages

Sunday, September 8, 2013

New Video- BABAY MADAHA - SUMMER TIME HOLIDAY


Tutoe ushilikiano kwa kusikiliza mziki wa bongo na kuangalia video za bongo
Toa maoni yako kwa kuandika comment yako
Hii ni nyimbo mpya ya baby madaha Inakwenda kwa jina la

''SUMMER TIMW HOLIDAY'''

Our link. www.kinophotostuio.blogpot.com

Thursday, August 22, 2013

MINDWAY LADGE MINDWAY LODGE...ILIYOPO MOMBO TANGA.... INAWATANGAZIA KWAMBA IMEFUNGULIWA HIVI KARIBU

Inatoa Uduma za vyumba na N.K
KWA MAITAJI ZAIDI
WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA:-
+255754344607
+255712344607
TUNA WAKARIBISHA WOTE

PHOTO OF THE DAY.... EM EVANS.. MDOGO WAKE NA HEMED SULEYMANI PHD

MODEL
FOLLOW THIS BOY ON
FACEBOOK 
BY
Em Evans

Monday, July 29, 2013

STAY TUNED... BACK sooon...

Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena wengi wakinichamba hasa.. sitaki kutoa sababu yoyote on why nilikuwa kimya kwa muda wote huo sababu mwisho wa siku haitasaidia chochote kile..
kikubwa nawapenda woooote sana sana mliotuma comments mbaya na nzuri sababu mmeniamsha na kunifanya nione how this blog of mine ina mafans... am happy'
Muda si mrefu nitarudi rasmi kabisa kwa nguvu ileile ili tuweze kwenda sawa.... got so many things for you guys so just stay tuned sweethearts'
 Ntaanza tu kuwawekea vipindi ambavyo hii ni maombi ya baadhi ya watu ambao wako nje na hawakufanikiwa kuviona lakini kwa updates ya vitu tofauti vinavyoendelea soooooon tutakwenda sawa..
NAWAPENDA WOOOOOOTE SANA SANA!!!!!! 
 
 
 kwa kuziangalia tu hizo sura hapo juu unahisi zinaletaleta na nani!!???

hao watoto unaowaona hapo juu ni mapacha, na mmoja kati yao kwasasahv ni mmoja kati ya mastar wakubwa sana wa filamu hapa tanzania..
hebu niambie ni nani!????
 
 
 niliweka hii picha hapo juu na kuomba watu waguess huyo ni nani.. na wengi wameonekana wako makini sana na kutaja jina la hemed, na hilo ndio jibu sahihi.. huyo ni hemed suleimaan akiwa na mama yake mzazi na hapo aalikuwa na umri wa miaka 5, na ilikuwa ni mwaka 1991!!
hii ni picha inayoonesha walivyo sasa.. hemed na mama yake
na hapa ni hemed mwenyewe ama phd kama anavyopenda kujiita.. nakuletea mwingine soon ili uchemshe bongo kdg

G5 click wanakuletea.. BODA KWA BODA beach concert!!


BODA KWA BODA BEACH CONCERT ON 12th Nov.....,here comes what you have been waiting for tz BODA KWA BODA BEACH CONCERT..Stage will be covered by Jaguar from Kenya ,Sumalee,Country boy & Stamina,GodZilla,Aslay,Beka,Reycho,Young D and many more.Dj Zero will be on the mix to make the crowd going crazzieeee with the hottest hitz.

ENTRANCE : 10,000tshs
VENUE: MBALAMWEZI BEACH "the finest beach"
TIME: 7pm

Friday, October 28, 2011

MOJA YA SCENE ZILIZOWAHI KUNIFURAHISHA ZA FILAMU...

 

 

Thursday, July 18, 2013

nouma


UPCOMING ARTIST KUTOKA MOMBO SPIZOO

                                                   Artist kutoka Tanga kuja kwa kasi Tanzania