Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata
comments nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena
wengi wakinichamba hasa.. sitaki kutoa sababu yoyote on why nilikuwa
kimya kwa muda wote huo sababu mwisho wa siku haitasaidia chochote
kile..
kikubwa nawapenda woooote sana sana mliotuma comments mbaya na nzuri
sababu mmeniamsha na kunifanya nione how this blog of mine ina mafans...
am happy'
Muda si mrefu nitarudi rasmi kabisa kwa nguvu ileile ili tuweze kwenda
sawa.... got so many things for you guys so just stay tuned sweethearts'
Ntaanza tu kuwawekea vipindi ambavyo hii ni maombi ya baadhi ya watu
ambao wako nje na hawakufanikiwa kuviona lakini kwa updates ya vitu
tofauti vinavyoendelea soooooon tutakwenda sawa..
NAWAPENDA WOOOOOOTE SANA SANA!!!!!!
hao
watoto unaowaona hapo juu ni mapacha, na mmoja kati yao kwasasahv ni
mmoja kati ya mastar wakubwa sana wa filamu hapa tanzania..
hebu niambie ni nani!????
niliweka
hii picha hapo juu na kuomba watu waguess huyo ni nani.. na wengi
wameonekana wako makini sana na kutaja jina la hemed, na hilo ndio jibu
sahihi.. huyo ni hemed suleimaan akiwa na mama yake mzazi na hapo
aalikuwa na umri wa miaka 5, na ilikuwa ni mwaka 1991!!
hii ni picha inayoonesha walivyo sasa.. hemed na mama yake
na hapa ni hemed mwenyewe ama phd kama anavyopenda kujiita.. nakuletea mwingine soon ili uchemshe bongo kdg

BODA KWA BODA BEACH CONCERT ON 12th Nov.....,here comes what you have been waiting for tz BODA KWA BODA BEACH CONCERT..Stage will be covered by Jaguar from Kenya ,Sumalee,Country boy & Stamina,GodZilla,Aslay,Beka,Reycho,Young D and many more.Dj Zero will be on the mix to make the crowd going crazzieeee with the hottest hitz.
ENTRANCE : 10,000tshs
VENUE: MBALAMWEZI BEACH "the finest beach"
TIME: 7pm

G5 click wanakuletea.. BODA KWA BODA beach concert!!

BODA KWA BODA BEACH CONCERT ON 12th Nov.....,here comes what you have been waiting for tz BODA KWA BODA BEACH CONCERT..Stage will be covered by Jaguar from Kenya ,Sumalee,Country boy & Stamina,GodZilla,Aslay,Beka,Reycho,Young D and many more.Dj Zero will be on the mix to make the crowd going crazzieeee with the hottest hitz.
ENTRANCE : 10,000tshs
VENUE: MBALAMWEZI BEACH "the finest beach"
TIME: 7pm
No comments:
Post a Comment