Tutoe ushilikiano kwa kusikiliza mziki wa bongo na kuangalia video za bongo
Toa maoni yako kwa kuandika comment yako
Hii ni nyimbo mpya ya baby madaha Inakwenda kwa jina la
''SUMMER TIMW HOLIDAY'''
Our link. www.kinophotostuio.blogpot.com
Tunapiga picha Tupo kinmondoni mkwajuni wasiliana nasi kwa simu Namba +255712730777
hii ni picha inayoonesha walivyo sasa.. hemed na mama yake
na hapa ni hemed mwenyewe ama phd kama anavyopenda kujiita.. nakuletea mwingine soon ili uchemshe bongo kdg

hako
katoto unakokaona hapo juu ni mmoja kati ya mastar wakubwa sana wa
filamu kwa sasa.. hapo akiwa na mama yake.. hebu hisi huyo ni nani!???
halafu nipe jibu..
hapa
ni baba yake mzazi na mama yake enzi hizo.. hii ni kukupa clue tu ili
upate urahisi wa kutambua.. kwa kuwaangalia unahisi wamefanana na msanii
gani wa filamu kwa sasa!??